­

About KABENDE.COM

Manual Description Here: Ea eam labores imperdiet, apeirian democritum ei nam, doming neglegentur ad vis.

Maamuzi ya Wizara ya Elimu kuhusu wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wanaotakiwa kwenda Field na na Hatima ya mikopo yao ya Field

Maamuzi ya Wizara ya Elimu kuhusu wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wanaotakiwa kwenda Field na na Hatima ya mikopo yao ya Field
createSnippet("summary8276323658942167314...
Read More...

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kufunguliwa Kwa Mfumo Wa Udahili Wa Pamoja (CAS) Unaoratibiwa Na NACTE Na Kutangazwa Kwa Majina Ya Waombaji Udahili Waliochaguliwa Kujiunga Na Kozi Za Cheti Na Diploma

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kufunguliwa Kwa Mfumo Wa Udahili Wa Pamoja (CAS) Unaoratibiwa Na NACTE Na Kutangazwa Kwa Majina Ya Waombaji Udahili Waliochaguliwa Kujiunga Na Kozi Za Cheti Na Diploma
Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza nafasi za udahili zilizo wazi baada ya Baraza kuchagua waombaji udahili waliowasilisha maombi yao kuanzia tarehe 4 Machi 2016 hadi tarehe 3 Juni 2016. Mwisho wa kuwasilisha maombi...
Read More...

BALANCED DIET

BALANCED DIET
BALANCED DIET >>A diet which contains all types of food nutrients at the right proportions for a healthy human.    Constituents of a balanced diet        » Carbohydrates » proteins         » fats and oils        ...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA PILI

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA PILI
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ) - Sehemu ya Pili Mtunzi: Enea Faidy Ilipoishia sehemu ya kwanza ( kama hukuisoma BOFYA HAPA) .....Wakati wanafunzi wengine wakiwalilia wenzao Doreen alikuwa amejitenga peke yake nyuma ya bweni alilokuwa anakaa na kulikuwa na Giza totoro. Alikuwa uchi wa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 20

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 20
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya IshiriniMTUNZI: ENEA FAIDY.....EDDY aliumia sana kwa taarifa zile za kifo cha mama yake. Hakutaka kuamini kama kweli mama yake hatakuwa pamoja nao tena. Machozi yalimbubujika kwa kasi huku akimwita mama take kana kwamba alikuwa karibu yake.Mr.Alloyce...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 19

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 19
Mtunzi: Enea Faidy ==>Kama hukuisoma sehemu ya 18  <<>>BOFYA HAPA .....DORICE alipozitazama zile nguo zilikuwa ni nguo nzuri sana za kuvutia. Kulikuwa na gauni moja refu linaloacha wazi mikono lenye rangi ya dhahabu inayong'aa sana. Kulikuwa na viatu virefu...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA NANE

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA NANE
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya Kumi na Nane Kama hukuisoma sehemu ya 17 bofya hapa MTUNZI : ENEA FAIDY ...MAMA Eddy aliendelea kukoroma kwa nguvu pale chini na kuzidi kumchanganya sana mumewe Mr.Alloyce. Mwanaume yule alichanganyikiwa haswa na kujikuta akiangusha chozi lake kwa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA SABA

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA SABA
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya Kumi na Saba Mtunzi: Enea Faidy ==> Kama hukuisoma sehemu ya 16 <<BOFYA HAPA >> ..... MANSOOR alimtazama Dorice kwa jicho la kiulizo lililomtaka azungumze chochote lakini Dorice hakusema neno zaidi ya kuangua kilio cha huzuni baada...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA SITA

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA SITA
Riwaya:Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 16  Kama hukuisoma sehemu ya kumi na tano bofya hapa MTUNZI:ENEA FAIDY ....DOREEN alikuwa bado hana hali nzuri kiafya, mwili wake ulikuwa hauna nguvu kabisa kwani ile adhabu aliyoipata usiku ilimwadhibu haswa. Alijikuta anamwogopa Nadia kupita...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA TANO

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA KUMI NA TANO
Riwaya:Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya Kumi na Tano Kama hukuisoma sehemu ya kumi na nne bofya hapa MTUNZI:ENEA FAIDY ...DORICE alikuwa akiyatafakari maneno ya malkia wa himaya aliyokuwepo kwa wakati ule. Alikuwa haelewi afanye nini na achague lipi kati ya kifo au kuolewa na jini. Alijikuta...
Read More...