RIWAYA:A WIZARD STUDENT (MWANAFUNZI MCHAWI)MTUNZI: ENEA FAIDYSEHEMU YA 27...... MR ALOYCE alibaki kimya akiwa ametulia kimya kama vile amegandishwa na gundi ngumu. Haja ndogo ilipita taratibu katikati ya mapaja yake na kushuka chini ardhini. Alitamani ardhi ipasuke ili walau akajifiche chini ya ardhi kuliko...
RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 27

Read More...