RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 32 na 33Mtunzi:ENEA FAIDY.... Shule ya sekondari Mabango ilikuwa na utulivu wa hali ya juu tangu Doreen alipoondoka shuleni pale. Licha ya kwamba kulikuwa na upungufu wa walimu lakini hali ilikuwa shwari kabisa. Wanafunzi waliendelea na masomo yao kama...
RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 32 na 33

Read More...