­

About KABENDE.COM

Manual Description Here: Ea eam labores imperdiet, apeirian democritum ei nam, doming neglegentur ad vis.

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 30

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 30
Riwaya:A  WIZARD STUDENT (MWANAFUNZI MCHAWI)Mtunzi:ENEA FAIDYSEHEMU YA 30....Dorice aliendelea  Julia huku matone yake ya machozi yakiwa damu. Ghafla akajikuta ana uwezo wa ajabu ambao hajawahi kuufikiria kuwa nao hata siku moja. Alijibadilisha sura na kuwa kiumbe wa kutisha, macho yalikuwa kama ya...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 29

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 29
RIWAYA:A WIZARD STUDENT (MWANAFUNZI MCHAWI)MTUNZI:ENEA FAIDYSEHEMU YA 29.....MR Aloyce alizidi kumkazia macho mkewe akahisi ni mrembo zaidi ya Mama Eddy yule anayemfahamu yeye. Halafu alikuwa na madaha sana kuzidi vile alivyomzoea. Wasiwasi ukamtanda akilini make na kumfanya asimwamini sana mwanamke yule kuwa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 28

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 28
Riwaya:A WIZARD STUDENT (MWANAFUNZI MCHAWI)Mtunzi: ENEA FAIDYSEHEMU YA 28.... Leyla alikuwa amechanganyikiwa sana baada ya mumewe kuwa katika Hali ile. Alishindwa kuelewa atafanyaje ili kujimudu katika familia yake kwani Mwalimu John ambaye ni mumewe asingeweza kurudi tena kazini. Kilichomfanya anyong'onyee...
Read More...