­

About KABENDE.COM

Manual Description Here: Ea eam labores imperdiet, apeirian democritum ei nam, doming neglegentur ad vis.

Recent Post

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 40

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 40
RIWAYA:MWANAFUNZI MCHAWIMTUNZI:ENEA FAIDYSehemu ya 40....Eddy alisimama kwa muda huku akiyashangaa yote yanayoendelea. Alishindwa kuamini kama kinachoendelea pale kilikuwa na ukweli ndani yake.  Alifuta macho yake na kutazama tena,  safari hii macho yake yalitua moja kwa moja kwa Doreen aliyekuwa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU 38 NA 39

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU 38 NA 39
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 38 & 39MTUNZI:Enea Faidy.....Mr Aloyce bado hakumuelewa vizuri mkewe kwa kauli aliyoisema. Kauli ile iliibua utata mkubwa kichwani mwake na kumtaka mkewe amueleze ukweli."Niambie mke wangu... Nini kinaendelea? Maana Mimi sielewi!" Alisema Mr...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 36 na 37

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 36 na 37
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 36 & 37MTUNZI:ENEA FAIDY...Mama Eddy alitazama juu ili kuona kama kuna chochote lakini hakuona kitu. Ilimbidi atumie nguvu zake za uchawi alizokuwa Nazo ili kujilinda kwani aliziona dalili za kuvamiwa katika mazingira ya kutatanisha.Mama Eddy...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 35

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 35
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 35Mtunzi:Enea Faidy......OOH siamini! Siamini kabisa kama sioni nyeti za Eddy" alisema Doreen akiwa amechanganyikiwa sana. Alitazama vizuri kwenye mkoba wake lakini hakuona nyeti za Eddy na hakujua nani amechukua. Kutokana na ulinzi mkali aliokuwa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 34

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 34
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 34Mtunzi:Enea Faidy...Lakini cha ajabu kila alipomsogelea binti yule naye alikaza mwendo zaidi. Mama Dorice alishuhudia jinsi ambavyo mwanaye alitembea kwa madaha sana."Doriiiice!" Aliita kwa sauti lakini yule msichana alipogeuka hakuwa Dorice tena ilikuwa...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 32 na 33

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 32 na 33
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 32 na 33Mtunzi:ENEA FAIDY.... Shule ya sekondari Mabango ilikuwa na utulivu wa hali ya juu tangu Doreen alipoondoka shuleni pale. Licha ya kwamba kulikuwa na upungufu wa walimu lakini hali ilikuwa shwari kabisa. Wanafunzi waliendelea na masomo yao kama...
Read More...

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU 31

RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU 31
RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 31Mtunzi:ENEA FAIDY...Doreen alimsikiliza kwa Umakini mama Pamela ili ajue ni swali gani analotaka kuuliza. Mama Pamela alikaa vyema kisha akakohoa kidogo na kumtazama Kwa makini Doreen."Niulize Tu mama" alisema Doreen."Hivi ni kitu gani unapenda nikufanyie...
Read More...