WANACHUO 1168 WA PROGRAMU YA STASHAHADA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI KUTOKA UDOM KWENDA VYUO VYA UALIMU

Wanafunzi 1168 wa programu ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi, wenye ufaulu wa Daraja la II-III wamepangiwa kuendelea na masomo yao katika vyuo vya ualimu kwa gharama zao wenyewe. 
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD MAJINA